Kiwano

Kiwano ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawano. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiwano imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwano iko katika kundi la Kidani.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search